Friday, 20 July 2018

      

 Runinga Ibadilishayo Maisha Yako

JE UNA NYIMBO AU DVD MPYA

Uongozi wa Morning star television unawatangazia kwaya,vikundi au mtu mmoja mmoja kuleta DVD kwa ajili ya kurushia matangazo.namna ya kuleta wasiliana na production Manager MSTV au tembelea ofisi zetu zilizopo Mikocheni B  mtaa wa Hale.