Print this page

Afya na Raha

Je wajua umuhimu wa kutumia vyakula asili kwa ajili ya afya yako bora? Kutokana na matatizo mengi ambayo yamekuwa yakiwakabili watu hasa wanaokaa mijini, imegundilika kuwa ni kutokana na kutumia vyakula ambavyo si sahihi kwa ajili ya matumizi ya kiafya. Mfano watu wengi wamekuwa wakitumia ugali uliokobolewa(sembe) eti kwa sababu ni mweupe.ni ukweli usiopingika kuwa sembe ni ugali unaovutia machoni lakini si bora kwa ajili kuliwa kwani kiini cha indi kimeondolewa hivyo kufanya ugali huo kuwa makapi.

Read 2460 times