Friday, 20 July 2018

      

 Runinga Ibadilishayo Maisha Yako

MLIPUKO WA INJILI MLIPUKO WA INJILI magomeni makambi magomeni makambi
01 January 2011

MLIPUKO WA INJILI

01 January 2011

MLIPUKO WA INJILI

20 July 2017

Mchungaji Amosi Rutekebela akifundisha watu waliodumu kwenye ndoa kwa muda mrefu wakati wa mfululizo wa mikutano ya makambi mtaa wa Magomeni jijini Dar es salaam

20 July 2017

Mchungaji Amosi Rutekebela akifundisha watu waliodumu kwenye ndoa kwa muda mrefu wakati wa mfululizo wa mikutano ya makambi mtaa wa Magomeni jijini Dar es salaam

Enendeni ulimwenguni kote mkaitangaze injili..... Math 28:19

Mwaliko wa kurekodi

Mkutano mkubwa wa injili

amani ya kweli hupatikana katika Kristo

undugu katika kristo

Afya na Raha

Nyimbo za uvuvio

LEO KATIKA MAANDIKO

 Haleluya .Lisifuni jina la Bwana.Enyi watumishi wa BWANA sifuni.Ninyi msimamao nyumbani mwa BWANA ,Nyuani mwa nyumbani mwa Mungu wenu.Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA NI mwema ,Liimbieni jina lake kwe maana lapendeza .(Zab 135:1-3)

TAARIFA

TAARIFA ZA VITUO -MAISHA HATIMAYE

Unaweza kutuma taarifa za kituo chako kwenda

0620- 701 100 au

Kwa ajili ya maombi

0766 -669 911

0759-698 043

0759-419 023

0763-393 909

 Mahubiri ya Maisha hatimaye yanayorushwa moja kwa moja kupitia satellite kutokea jijini Mbeya yanendelea kuonekana kila siku kuanzia saa 11:40 hadi 02:00 jioni. Wahudumu wakuu katika mikutano hii ni Mchungaji Geofrey Mbwana kama mhubiri mkuu ,Namsifu Nyagabona kwa upande wa masomo ya ujasiriamali pia Mchungaji Kaleb Migombo atahudumu sehemu ya kaya na familia.

     Unaweza kupata mahubiri haya moja kwa moja kwa kutumia njia zifuatazo:

            1. king'amuzi cha Continental

            2.King'amuzi cha TING

            3.Kwa satellite ya ABS-2, Freq 11629 MGHZ,Symborate  3750 Msbs, Polarization Vertical(V)

            4.TAMC App kwa kupakua kwenye playstore au Appstore

            5.Youtube :MorningstarTv Tanzania

Alika ndugu na marafiki katika vituo  ili kushiriki hii mibaraka hii.

    Mungu akubariki

 

 

 

VIPINDI VYETU

Afya na Raha

Je wajua umuhimu wa kutumia vyakula asili kwa ajili ya...

Nyimbo za uvuvio

Nyimbo za uvuvio ni kipindi kitakachokuburudisha na kukupa elimu mbalimbali...

Ongeza Maarifa

Onegeza maarifa ni kipindi cha kukupa maarifa mapya na kuboresha...

Kaya na familia

Kaya na familia ni kipindi kitachokupa uzoefu wa maisha katika...

Lulu za injili

Pata kufahamu nyimbo mpya kupitia kipindi chako bora cha lulu...

 

 OTHER LINKS

SOUTHERN TANZANIA UNION                                        EAST TANZANIA CONFERENCE

NORTHERN TANZANIA UNION                                        SOUTHERN HIGHLAND CONFERENCE

EAST CENTRAL DIVISION                                              SOUTHERN NYANZA CONFERENCE

                                                                                       MARA CONFERENCE

                                                                                       KIGOMA CONFERENCE